HOYO-MiX 앨범 : 원신-영원한 태양, 영원한 갈망 (Original Game Soundtrack)
작사 : HOYO-MiX
작곡 : HOYO-MiX
Ochkan Ochkan we
Bwanawe jijoka we
Vivuli vyaenea we ardhini na mchangani ni
Usihofu usiku na usilie bure
Moto uwake na wimbo wa vita urudi
Tumaini washa moto mpaka uwake
Iwashe na toweka nafsi e Tumaini